Posts

Showing posts from September, 2018
Image
Miaka 10 iliyopita ndani ya chumbe nikiwa na wanafuzi wangu skuli ya sekondari Vikokotoni, Mungu awape kila la kheiri wafanyakazi wa Chumbe kwa kutoa elimu ya mazingira kwa vizazi vyetu vya sasa hivi na baadae.

SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

Wanafunzi wa shule ya k/samaki sekondari A na B wakishirikiana na wafanyakazi wa chumbe Island coral park (CHICOP) katika kusafisha mazingira ya pwani ya mazizini. Tumeweza kwa umoja wetu kuondoa taka taka zilizopo kwenye ukanda huo wa pwani